Kutokana na maoni na ushauri wa wasomaji
wengi, nimekubali kutengeneza Blogu mpya
http://jipatiemchumba.blogspot.com
itakayowaunganisha watu mbalimbali kuwa wapenzi kwa lengo la kufunga ndoa kwa
mapenzi ya Mungu. Pia ukitaka ni kuunganisha kwa njia nyingine za mitandao ya kijamii (Whatsapp, Instagram n.k)
Ili kuweza kupata kibali cha kuingia kwenye
blogu tajwa hapo juu ni budi:-
1)
Tuma TZS. 5,000.00 kwenye 0719841988 kwa Tigo
pesa.
2) Kwa waliyo nje ya nchi nitawatumia blockchain /REMITANO address yangu
2) Kwa waliyo nje ya nchi nitawatumia blockchain /REMITANO address yangu
3) Kwa waliyo nje ya
nchi nitawapatia Blockchain/Remitano address kwa ajili ya kutuma hiyo pesa.
4)
Tuma anuani pepe (E-mail address) yako ya google
kwa fkmwamoto@gmail.com
pamoja na kumbukumbu namba ya pesa uliyotuma.
5)
Toa sifa zako kwa
mtiririko ufuatao: -
i.
Umri wako:
ii.
Jinsia:
iii.
Kimo cha chako:
iv.
Rangi yako:
v.
Kazi yako:
vi.
Elimu yako:
vii.
Tabia usiyoipenda:
......................(e.g. Ulevi, Uvutaji sigara, n.k)
viii.
Dini yako:
ix.
Unapenda nini?
…………………………(e.g. Muziki, kujisomea, kuangalia TV n.k)
Ambatanisho picha yako pasipoti au kamili.
Kamili ni vizuri zaidi)
4)
Unayemtaka awe na sifa
zifuatazo:-
i.
Umri wake:
ii.
Jinsia:
iii.
Kimo chake:
iv.
Rangi yake:
v.
Kazi yake:
vi.
Elimu yake:
vii.
Tabia usiyopendezwa nayo:
viii.
Dini yake:
ix.
Awe anapenda kitu
gani?
5) Uanachama kwenye Blogu hii, utasitishwa kwa
mwanachama ye yote iwepo:-
i.
Iwapo mwanachama
atabainika kumtukana mwanachama mwenzie kwa njia ya sms/e-mail kwa sababu ya
kushindwa kuafikiana.
ii.
Atasambaza namba ya
simu/anuani pepe ya mwanachama mwenzake pasipo idhini ya husika.
Vigezo vitaendelea kuongezeka kadiri hali
itakavyotulazimisha kufanya, karibu usikate tamaa mme/mke utaweza kumpata kwa
kupitia blogu hii.
No comments:
Post a Comment